Idamovic Vuay | 2012-04-27 07:31:17
*ni wajibu kwa kila mwanadamu kukumbuka kitu gan kilicho mleta hapa dunian, lengo na madhumun ni IBADA. Watu wengi wamejitia katika dini nyengne eti wazee wao walifanya, mtu afata mkumbo tu*
Allah sw, anasema *na wala msife, ila mufe mukiwa tayari w...
Adam Majidi | 2012-04-27 04:13:01
Tanzania ndilo jina lililokuwa likivutia masikioni mwa wengi kwa amani,umoja,na mshikamano. Wazalendo waliipigania nchi hii kwa tabu na mateso makubwa. Leo hii nchi yetu imewekwa rehani,watanzania wananyanyasika kwenye nchi yao,wanabaguliwa na hata k...
Zulekha Mahmoud | 2012-04-26 13:40:49
Apendae ni wajibu kuteseka kila Mara na mimi yalonisibu imenipasa subira ......... Mwenye nyonda ni taabu moyoni kua na gheraa!
Al Udii | 2012-04-25 21:53:53
Tunachukua fursa hii kwa kukumbushana kuwa kutaka Zanzibar irejee kuwa dola huru hivyo sio kuwa Wazanzibari wanaomba kutendewa ihsani kutoka kwa yoyote yule, sivyo hivyo hata kidogo. Uhuru wa Zanzibar ni haki ya Zanzibar, ni haki yetu ya kuzaliwa nay...
Emmy Nofal | 2012-04-25 18:22:59
ENYI WAJA MSONIHESHIMU HESHIMA YENU NAWAPA MOLA KANIJAALIA NIDHAMU C KWAMBA NAWAOGOPA MKINIHESHIMU NITAWAJIBU SALAM KWANG HAIGOMBI NA MKINITUSI SITO WAJIBU MATUSI KWNG NI DHAMBI.
Faraji Said | 2012-04-25 08:26:53
JAMANI,MNAPOTUFUNDISHA WANANCHI HAKI ZETU,ILI TUZIDAI.TUFUNDISHENI NA WAJIBU WETU PIA.
Stephen Frank | 2012-04-24 19:01:59
ROHO WA BHANA ASHUKE JUU YENU NA KUWAJAZA NA MAPAJI YAKE MENGI PIA AWALINDE USIKU KUCHA NA AWAAMSHE NA AFYA TELE ILI MTIMIZE WAJIBU WENU DUNIANI.gud nyte!
Guy Brian | 2012-04-24 14:59:05
Mes chers aimes,freres et soeurs,enemies,amies(jolie,Goodfry,salum,bisengo,lupe,frank,mr bean,mamy,shadi,wajibu,mkamba,mze kiza, sans oublier, Aceena j vs aimes mais je doit partir des orjourd'hui je vais quitter se pays !!!je vs aimes mercie !!!
Sele Zungu | 2012-04-24 05:27:48
MAISHA NI MAFUPI HASA YAKIKUNOGEA KIFO NI WAJIBU KIKIKWITA HUKATAI
Mukhtar Abdul Bolyao | 2012-04-24 05:22:07
Ndugu Watanzania hususan Wakazi wa Jimbo la Arusha. Tunaweza kujiletea Maendeleo Hata kama Serikali Haiwezi kutimiza Wajibu wake. Uwezo wa kujiletea Maendeleo Tunao. Nasubiri Wakati ukifika Nitagombea Ubunge Jimbo la Arusha, nitaweza kutimiza kile n...
Salim Athumani | 2012-04-23 21:20:04
"No right WITHOUT responsibility" Wengi tunadai HAKI pasipo kutimiza WAJIBU wetu kwanza. ILA ifahamike kuwa wakati mwingine HAKI kwanza kisha WAJIBU. Ili DUNIANI pawe na amani/furaha VIWILI HIVI HAVITENGANISHWI kamwe.
Emasco David | 2012-04-23 16:31:17
Maisha n mafup hasa yakikunogea xo anzakutambua wajibu wako god anapokuweka hai
Azadam J Kt | 2012-04-23 12:27:14
Dr. SLAA ALIPA JESHI LA POLISI SIKU SABA
Kufuatia kutotiwa mbaroni kwa watuhumiwa halisi wa tukio la kushambuliwa wabunge wawili wa Chadema DR. Slaa amelipa Jeshi la polisi siku saba kuwakamata watu hao na kuwafikisha mahamani mara moja. Amesema wat...
Felix Wanjohi | 2012-04-23 09:11:57
Congratulation to our london marathon heroes. you have realy made me a very pround Kenyan. But it is quite sad how some unfortunate nationalities want to belittle the success parhaps in defence of their own faillings. such comments as listed here bel...
von Twitter, Facebook und Google+ aus, um ein Bild von der öffentlichen Meinung zu bekommen.
Allah sw, anasema *na wala msife, ila mufe mukiwa tayari w...
Kufuatia kutotiwa mbaroni kwa watuhumiwa halisi wa tukio la kushambuliwa wabunge wawili wa Chadema DR. Slaa amelipa Jeshi la polisi siku saba kuwakamata watu hao na kuwafikisha mahamani mara moja. Amesema wat...